Pages

Friday, December 21, 2012

busi la kampuni ya SALATOGA limenusurika kuanguka wilayani kakonko

basi hilo lilikuwa linatokea mwanza kwenda kigoma na limechomoka taili la mbele mkono wa kulia  likiwa katika eneo la kijiji cha Kazilamihunda wilayani kakonko mkoani kigoma

hakuna abilia yeyote aliyejeruhiwa katika basi hilo

picha na mwandishi wa habari Issa Ngumba

tuzidi kumuomba mwenyezi mungu atuvushe mwaka huu wa 2012 salama

No comments:

Post a Comment