E-MAIL jamesjovin23@yahoo.com
kwa habari, matukio, michezo na burudani
Pages
▼
Thursday, December 13, 2012
picha ya siku
mwenyekiti wa ccm wilayani kibondo bw Emmanul Gwegenyeza akikabidhi msaada wa kiti cha magurudumu kwa mlemavu msaada uliotolewa na shirika la world vission wakati wa siku ya walemavu duniani ambayo hufanyika kila ifikapo december 3
No comments:
Post a Comment