Pages

Monday, December 1, 2014

mabomu nane 8 ya kurushwa kwa mkono yagunduliwa wilayani kibondo

Mabomu nane 8 ya kurushwa kwa mkono yameokotwa na Watu wawili waliokuwa wakihamisha kifusi cha udongo katika nyumba iliyobomolewa na kujengwa upya katika kata ya mabamba wilayani kibondo mkoani kigoma kwa habari kamili bonyeza hapo chini

No comments:

Post a Comment