E-MAIL jamesjovin23@yahoo.com
kwa habari, matukio, michezo na burudani
Pages
▼
Monday, December 1, 2014
mabomu nane 8 ya kurushwa kwa mkono yagunduliwa wilayani kibondo
Mabomu nane 8 ya kurushwa kwa mkono yameokotwa na Watu wawili waliokuwa wakihamisha kifusi cha udongo katika nyumba iliyobomolewa na kujengwa upya katika kata ya mabamba wilayani kibondo mkoani kigoma
kwa habari kamili bonyeza hapo chini
No comments:
Post a Comment