mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha NCCR mageuzi jimbo la muhambwe ndugu Felix Mkosamali akinadi sera zake katika uwanja wa taifa mjini kibondo vipaumbele vyake ni pamoja na kuwasaidia boda boda kusajili piki piki zao hapa hapa wilayani , mapinduzi katika kilimo na kuhakikisha wilaya ya kibondo inapata umeme wa grid ya taifa ili kuleta viwanda |
No comments:
Post a Comment