Pages

Friday, July 15, 2016

NEW tazama matokeo ya kidato cha sita hapa


Baraza la Mitihani la Taifa(NECTA), limetangaza matokeo ya Kidato cha 6 kwa wanafunzi wote waliofanya mtihani mwezi Mei mwaka huu. Ufaulu kwa masomo ya Sayansi umeshuka
Ambapo Wanaume wameongoza kwa wingi katika 10 bora, bofya link hapo chini,

http://www.necta.go.tz/results2016/ACSEE2016/index.htm

No comments:

Post a Comment