Pages

Sunday, August 28, 2016

TANGAZO





UONGOZI WA CHUO CHA ROYAL COLLEGE OF TANZANIA TAWI LA KIBONDO UNAPENDA KUWATANGAZIA KUWA WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE NA KUPATA ‘D’ NNE NA KUENDELEA  WANAENDELEA KUDAHILIWA KATIKA KOZI ZA MAENDELEO YA JAMII/USITAWI WA JAMII PAMOJA NA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI

MHITIMU WA KOZI HIZI ATAPATA FURSA YA KUAJILIWA SERIKALINI KWENYE MASHIRIKA , RADIO NA TELEVISION MBALI MBALI AMA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU CHOCHOTE HAPA TANZANIA , USAJILI UNAFANYIKA KWA USHIRIKIANO NA NACTE

KWA MAELEZO ZAIDI FIKA CHUONI MJINI KIBONDO AMA PIGA SIMU NAMBA  0767633499 AU 0764053094

No comments:

Post a Comment