Pages

Friday, September 21, 2012

tume kuundwa kufuatilia sakata linalowahusu askari polisi wanne kibondo

mkuu wa jeshi la polisi mkoa wa kigoma kamanda Fraizer Kashai akisisitiza jambo juu ya tuhuma zinazowakabili askari polisi wanne (picha na james jovin )


mkuu wa jeshi la polisi mkoani kigoma bw Fraizer kashai ameahidi kuunda tume ya kuchunguza sakata linalowakabili askari polisi wanne la kumpiga na kumnyanganya pesa kiasi cha shilingi milionij mbili bi Jenisa Minani mwenye umri wa miaka 36

tukio hilo limetokea jumatatu usiku wa kuamkia jumanne september 17 mwaka huu katika tarafa ya kifura kata ya busunzu wilayani kibondo

No comments:

Post a Comment