Pages

Friday, December 7, 2012

picha tatu za hali ya kijana susuruka aliyetafunwa sehemu kubwa ya uso na boss wake hizi hapa

hali ya kijana susuruka aliyelazwa katika hospitali ya wilaya ya kibondo mkoani kigoma inaendelea vizuri baada ya vidonda vyake kuendelea kupona kwa hivi sasa pia anaweza kuongea japo kwa shida isipokuwa macho yake ndio bado hayajaanza kuona





ni kijana susuruka aliyeng'atwa na boss wake anahitaji maombi yenu na msaada wenu pia kama unachochote fika hospitali ya wilaya ya kibondo ili utoe sadaka yako...............GET WELL SOON DOGO SUSURUKA

No comments:

Post a Comment