Pages

Thursday, December 6, 2012

mkazi wa kabingo kakonko akutwa amefariki wilayani kibondo

bi vumilia Mzuka akiwa amefariki dunia katika makazi ya watu kitongoji cha katunguru wilayani kibondo


bi Vumilia Mzuka mwenye umri wa miaka 45 mkazi wa kabingo wilaya mpya ya Kakonko  amekutwa amefariki dunia katika kitongoji cha katunguru wilayani kibondo

baadhi ya wananchi waliokutwa eneo la tukio wamesema kuwa hakuna mtu anayedhaniwa kukhusika na kifo hicho

tukio hilo limetokea december  5 usiku wa kuamukia december 6 ambapo mama mmoja alikukwa akifungua mlango asubuhi ndipo akaona mtu aliyelala karibu na nyumba yake

jeshi la polisi wilayani hapa lilifika kwa kuchelewa eneo la tukio hali iliyosababisha baadhi ya wananchi kulalamikia jeshi hilo na kusema kuwa hawako makini na kazi yao


picha zaidi za tukio hilo hizi hapa


R I P VUMILIA MZUKA

No comments:

Post a Comment