Pages

Tuesday, August 11, 2015

STERLING ALIVYOPANDA JUKWAANI KUMPA MTOTO JEZI YAKE

Baadaya mchezaji wa zamani wa timu ya Liverpool Raheem Sterling kusajiliwa na timu ya Manchester City ya jijini Manchester kinda huyo katika mchezo wake wa kwanza wa timu ya Manchester City ilipokuwa ikitoana jasho na West Brom mchezaji huyo alionyesha kiwango kikubwa cha soka licha ya kukosa nafasi kadhaa za kufunga magoli katika mchezo huo na mara baada ya mchezo huo kumalizika kwa timu ya Manchester City kuibuka na Ushindi wa goli 3-0 mchezaji huyo ghali kwenye kikosi cha manchester City alipanda jukwaani na kuwapatia watoto wawili jezi yake kwani watoto hao walionekana kutoa sapoti kwake wakati akiwa uwanjani.







No comments:

Post a Comment