UONGOZI WA CHUO CHA ROYAL COLLEGE OF TANZANIA TAWI LA
KIBONDO UNAPENDA KUWATANGAZIA KUWA WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE NA
KUPATA ‘D’ NNE NA KUENDELEA WANAENDELEA
KUDAHILIWA KATIKA KOZI ZA MAENDELEO YA JAMII/USITAWI WA JAMII PAMOJA NA
UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI
MHITIMU WA KOZI HIZI ATAPATA FURSA YA KUAJILIWA SERIKALINI
KWENYE MASHIRIKA , RADIO NA TELEVISION MBALI MBALI AMA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU
CHOCHOTE HAPA TANZANIA , USAJILI UNAFANYIKA KWA USHIRIKIANO NA NACTE
KWA MAELEZO ZAIDI FIKA CHUONI MJINI KIBONDO AMA PIGA SIMU
NAMBA 0767633499 AU 0764053094
No comments:
Post a Comment