Pages

Thursday, August 30, 2012

mwana mama kutoka kifura kibondo akiwa amepandishwa gari la polisi wilayani hapa baada ya kugoma kuhesabiwa kutokana na msimamo wa mme wake






mama huyo anatoka katika familia ya bw issa juma mkazi wa busunzu kibondo ambapo yeye pamoja na kaya nyingine tatu waligoma kuhesabiwa kutokana na maadili ya dini zao (picha na james jovin)

No comments:

Post a Comment