Pages

Sunday, February 2, 2014

haya ndio maoni ya mtanzania wa kawaida kuhusu wasanii waliojiunga na ccm


Mr 2, Mkoloni, Prof Jay, Afande Sele, Mapacha wa Pasu Kwa Pasu walipojiunga na CHADEMA hakuna watu walio watusi kwa demokrasia walioamua kuchagua ya kujiunga na CHADEMA. Ila leo tumeona wasanii hawa Single Mtambalike (Richie), Jacob Stephen (JB), Blandina Chagula (Johari), Irene Uwoya, Wastara Juma, Mboto, Amada, Haji Adam (Baba Haji) wameamua kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM), kinachonisikitisha ni jinsi wanavyoshambuliwa na vijana wa CHADEMA tena kwa matusi kwa uamuzi wao wa kujiunga CCM. Vijana wa CHADEMA tambueni kuwa kujiunga na chama fulani ni uamuzi wa mtu na haki yake kikatiba kwani hao wasanii waliojiunga na CHAMA DUME (CCM) ni watu wazima na wanajua nini wanachofanya kama walivyofanya wakina Prof Jay na Afande Sele.
Wengine wanahamasishana eti wasusie kazi za hao wasanii, huu ni ujinga tena ni UPUMBAFU kabisa.

No comments:

Post a Comment