Pages

Monday, December 1, 2014

pingamizi katika uchaguzi wa serikali za mitaa wilayani kibondo

Mkurugenzi wa uchaguzi wa serikali za mitaa bw Judethadeus Mboya amesema kuwa amepokea barua za pingamizi katika uchaguzi zaidi ya 30 kutoka maeneo mbali mbali wilayani kibondo mkoani kigoma Bw Mboya amebainisha hayo alipokuwa akiongea na kibondo moto blog akiwa ofisini kwake na kuongeza kuwa tayari muda wa pingamizi umepita hivyo hakuna barua yoyote nyingine ya pingamizi itakayopokelewa kwa hivi sasa Aidha bw Mboya amesema kuwa baada ya muda wa kujiandikisha wapiga kura kumalizika kitakachofuata ni kujadiri barua za pingamizi zilizowasilishwa na kwamba kampeni zitafunguliwa kuanzia leo novemba 30 , 2014 Baada ya kupokelewa kwa pingamizi hizo kamati ya rufaa ikiongozwa na katibu tawala wa wilaya ya kibondo bw Ayubu Sebabili itakaa kujadiri pingamizi hizo kasha kutoa maamuzi kama ziko sahihi au sio sahihi ENDS MSIKILIZE HAPA MKURUGENZI AKIELEZEA ZAIDI

No comments:

Post a Comment