BREAKING NEWS aliyekuwa afisa elimu shule za msingi wilayani KIBONDO bw Bulingama Nyalinga ambaye siku za nyuma alivuma kwenye vyombo vya habari baada ya kusema kuwa walimu hawana mvuto ameshushwa daraja na kubaki mwalimu wa kawaida baada kukutwa na makosa matatu likiwemo la kutowaheshimu walimu na watumishi wa halmashauri ..............................kwa taarifa kamili endelelea kutembelea blog hii
No comments:
Post a Comment