any way msigano kati ya hao wote wawili lazima uwepo ila je nani anaathilika kati ya hao wote wawili ? cha msingi wote wawili wakae meza moja waelewane tu kati ya school met wangu feli pamoja na mwamoto . na lazima ikumbukwe kuwa wote wanajenga nyumba moja isipokuwa tu mmoja kateuliwa kwa fadhila za dr. kikwete mwingine kachaguliwa kwa kura halali . mungu tusaidie coz kibondo we are stil back and back while others are lunning . naipenda kibondo naipenda kigoma hakika tupendane enyi wana kibondo mwl. Katulitsa home ni katahana
ahsante mwl. Katulitsa kwa maoni yako . mdau wa blog hii popote pale ulipo tuma maoni yako juu ya chochote kinachohusu mkoa wa kigoma nasi tutayatangaza kupitia hapa hapa mawasiliano yetu yanapatikana hapo juu ahsante
No comments:
Post a Comment