Michuano ya polisi jamii imezidi kushika kasi baada ya kumalizika katika tarafa ya kifura wilayani kibondo na mabwingwa Mbwa mwitu fc kuondoka na zawadi yao ya mbuzi mbyama
katika fainali hizo mkuu wa wilaya ya kibondo bw Venance mwamoto alikuwa mgeni lasimi huku msimamizi mkuu wa michuano hiyo mkuu wa jeshi la polisi wilayani kibondo bw Venance mwamoto akihudhulia pia fainali hizo
huku ndo kwetu bwana na si ndo mashabiki wa mchezo wa mpira mashabiki pia walijitokeza kwa wingi kushuhudia micheanno hiyo mikubwa kabisa huku kwetu
michuano hiyo baada ya kumalizika katika tarafa ya Kifura sasa itahamia katika tarafa ya Mabamba ambapo sasa zawadi zitaboreshwa baada ya kupata mdhamini atakayetoa zawadi ya ngombe mnyama kwa mshindi wa kwanza
No comments:
Post a Comment