Pages

Tuesday, September 11, 2012

MIPAKA ILIYOCHORWA NA MABEBERU BARANI AFRIKA YAZIDI KUISUMBUA TANZAMIA.

Watoto saba ambao niraia wa Nchi ya Burundi wamekamatwa mpakani mwa Tanzania na Burundi wakijaribu kuvuka mpaka nakuingia nchini Tanzania ,Mkuu wawilaya yakibondo Bwana venance Mwamoto amewataja watoto Hao kuwa ni Nigarukiye Francis ,Niyonkuru Erick ,Nshimirimana Erick,Nubhahi Imasna Erick,Sibo Kumana,Ntindivugwa binyimana na Imani Terasis

                Watoto hao wamekabidhiwa kwa mkuu wawilaya  Ya Gisuru Mkoani Ruyigi ,Huku Mkuu huyo wawilaya ya Kibomdo Bwana Mwamoto akimshikria raia wa Tanzania anaye jihusisha na biashara hiyo haramu ya kuvusha Raia kutoka nchi moja kwenda Nyingine,Ambaye ametambuliwa kwa jina la Yoramu Venance wa kitongoji cha Kitema kijiji cha Nyakitonto wilayani kasuluMkoani Kigoma.

                Kwakua Tanzaania ni Nchi yenye amani na utulivu huku ikiwa na ardhi ya kutosha tena yenye Rutuba ,Imegeuka kuwa Nchi ya makimbilio Hususan Raia ambao hukimbia balaa la vita ambazo zimepakana na Tanzania kama congo,Nazile Nchi ambazo zimeelemewa na mzigo waraia wake huku shughuri  za kilimo ,ufugaji uvuvi nk,vikiwa vimekwama.
               
Kabla ya mkutano wa Bern ulioanza tarehe 15 novemba na kukamilika tarehe 26 Februal1885 mwafrka alikuwa ana uwezo wa kutoka  Eneo moja kwenda jingine bila kujua kama kuna mipaka au la.Wahusika wakuu wa mkutano huo walikuwa wa Ingereza,Wajeruman ,Wafaransa .Wareno na wabelgiji  bila kuacha nyuma wajeruman .

Mkutano huo uligubikwa na wingu la udhaifu ambalo leo linaisumbu Tanzania,kwakuwa wahusika wakuu yaani viongozi wakiafrika hawakusushwa hali hiyo ilipelekea michoro iliyo chorwa na mabeberu hao ,kuwapasua waafrika  nakujikuta wanapatikana Waha wa Burundi na waha wa Tanzania ,Wahaya wa Tanzania na wahaya wa Uganda,wasomali wa Tanzania na wasomali wa uhabeshi  Wanyakyusa waTanzani ana Wanyakyusa wa Malawi

                Je? Vingozi wa afrika huru watafanya nini ?kupambana na wimbi la Raia waafrika wanaohisi kwamba kutoka Nchi moja kwenda Nchi nyingine kuyasaka maisha tulivu nasalama?   Hawavunji sheri a kwakuamini kwamba Afrika nimoja nafalsafa ya Nyerere isemayo kwamba waafrika wote ni Ndugu? Mkuu wawilaya ya kibondo Bw Mwamoto ameonyesha NJia  ,vipi wakuu wawilaya nyinginezo za Tanzania watamuunga Mkono.?

No comments:

Post a Comment