KIBONDO
Kijanaaliyeng’atwa sehemu kubwa ya uso na mwajiri wake
wilayani Kakonko mwishoni mwa wiki
iliyopita amelazwa katika hospitali ya wilaya ya kibondo na kwamba atalazimika kutibiwa katika hospitali hiyo kutokanana
familia yake kutokuwa na uwezo wa kumpeleka nje ya nchi kwa matibabu zaidi
Akiongea na na waandishi wa habari mganga wawodi ya wagonjwa majeruhi
Victor Nzaro amesema kuwa kijana huyo aliye julikana kwa jinamoja la
Susuruka mwenyeumri wamiaka 17 tangu afike hospitalini hapo hali aliyonayo kwa sasa naaliyo fikanayo bado haijabadilika
Amesema kuwa waganga wa hospitali hiyo watafanya kila liwezekanalo kumtibu kijana huyo kutokana na kuwa hakuna
hospitali yoyote hapa nchini inayoweza kumfanyia upasuaji na kwamba familia ya kijanahuyo hainauwezowa
kugharamia matibabu yakijana huyo nje ya nchi
Mkazi huyo wakitongoji cha muhange yajuu wilayani kakonko anaendelea na matibabu katika hospitali ya wilaya ya kibondo baada
yakutafunwa sehemu kubwa ya uso namwajiri
wake aitwaye Imani Paulo mwishoni mwa wiki
iliyopita sababu kubwa ikiwa ni kijanahuyo kudaipesayake kama malipoya kuchungang’ombe MWISHO
samahani kwa picha hizi za tukio hilo kama zitakusikitisha mungu amsaidie na amsamehe makosa yake kijana huyu
kijana aliyefahamika kwa jina moja la Susuruka akiendelea na matibabu katika hospitali ya wilaya ya kibondo baada ya kutafunwa na bosi wake sehemu kubwa ya uso wake |
No comments:
Post a Comment