ajali hii iliyohusisha gari aina ya fuso ilitokea mwishoni mwa mwezi wa November hapa wilayani kibondo pamoja na sababu nyingine gari hilo lilionekana kuwa na mzigo mkubwa tofauti na uwezo wake na kusababisha kushindwa kupanda mlima mdogo tu uliokuwa mbele yake hivyo kurudi nyuma ndipo gari hilo likapinduka
ajali nyingine husababishwa na uzembe wetu wenyewe au kupenda pesa nyingi kwa wakati mdogo, epusha ajali isiyo ya lazima kwa maendeleo yako mwenyewe |
No comments:
Post a Comment