kaka nakupa bonge la big up sana japo mi niko Iringa ila lazima kila siku nipitie blog yako kiukwel nakukubal cha msingi kaza sn . mi sasa hivi niko Iringa nachukua digrii ya ualimu chuo cha mkwawa - Iringa hakika washikaji zangu tulionao huku wanakukubali . then naomba sana ujaribu kuelezea matatizo hasa ya bara bara ya kigoma - nyakanazi na sisi 2kumbukwe huku mikoan sisi waha wanatucheka eti hatuna lami . pia mpe pole dogo susuruka . pamoja
ahsante kwa maoni yako kiongozi japo hukutaja jina lako tutajaribu kuyafanyia kazi pamoja na kwamba tunakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo kupata mdhamini wa kutuwezesha kutembelea maeneo mbali mbali kwa ajili ya kuibua kero mbali mbali za wananchi . pamoja sana ticha .
No comments:
Post a Comment