Pages

Wednesday, December 11, 2013

picha ya leo

hakuna binadamu yeyote anayeweza kugeuka dili ni mawazo finyu ya watu wanaopenda utajiri wa haraka kawaulize matajiri kote duniani hakuna utajiri wa siku moja swala la msingi ni kujituma unapofanya kazi tuwalinde walemavu wa ngozi. JAMES JOVIN

No comments:

Post a Comment