Pages

Tuesday, October 13, 2015

MGOMBEA MWENZA NGAZI YA URAISI KUPITIA CHADEMA HAJI DUNI AFANYA MKUTANO WILAYANI KIBONDO

mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha NCCR mageuzi jimbo la muhambwe ndugu Felix Mkosamali akinadi sera zake katika uwanja wa taifa mjini kibondo vipaumbele vyake ni pamoja na kuwasaidia boda boda kusajili piki piki zao hapa hapa wilayani , mapinduzi katika kilimo na kuhakikisha wilaya ya kibondo inapata umeme wa grid ya taifa ili kuleta viwanda



mgombea mwenza ngazi ya uraisi kupitia chadema Haji Duni akiteta jambo na ndugu Felix katika mkutano huo yeye anasema atahakikisha mkoa wa kigoma unaunganishwa kwa bara bara za lami kama ilivyo mikoa mingine kote nchini

mgombea udiwani kupitia chama cha CUF ndugu Vedasto Pesambili akinadi sera zake katika mkutano huo



No comments:

Post a Comment